News
Makala ya “ Muziki Ijumaa”, inaangazi juu ya muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania. Ally Bilali ameongea na msanii wa muziki wa Bongo Fleva. Mwanamuziki huyu anaongelea kazi kubwa aliyoifanya.
Aina mpya ya muziki unaojulikana nchini Tanzania kama BONGO FLAVA umejipatia umaarufu barani Afrika.
Muziki Ijumaa leo hii inakupa burudani ya muziki wa Bongo Fleva muziki ambao unaendelea kupanda chati na kuvuta hisia za mashabiki wa muziki hususan vijana. Fuatailia makala haya ya Muziki Ijumaa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results