Siku chache zijazo tutauhitimisha mwaka uliokuwa na mambo mengi wa 2025. Ulikuwa na mambo mengi kisiasa na kimichezo. Lakini makala haya yana lengo la kutazama matukio makubwa katika uwanda wa michezo ...