Sultan Qaboos bin Said wa ufalme wa Oman na binamu wa Sultan wa Zanzibar. Mmoja wa familia ya Sultan wa Zanzibar na ambaye amekuwa mfalme wa miaka mingi katika himaya za kiarabu, Sultan Qaboos bin ...
Kila baada ya miaka mitano, macho ya Watanzania na hata ya mataifa jirani huishia Zanzibar. Ingawa ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, uchaguzi wa Zanzibar hujitofautisha kwa njia nyingi za ...