Mayele alikuwa kwenye vita kubwa dhidi ya Inonga wakati wakiwa ... Baada ya kuitumikia timu ya taifa ya Uganda 'The Cranes' kwa zaidi ya miaka 15, nyota wa zamani wa Simba, Emmanuel Okwi ametangaza ...
Kama hujui mwamba huyo wa Ouagadougou, kuna jambo ambalo ameibuka nalo na linawahusu mastaa wote wanaokipiga katika Ligi Kuu Bara hivi sasa na wale waliopita miaka ya karibuni ... mfungaji bora ...
Hata baada ya kuondoka Mayele na kudhaniwa Musonda ndiye angerithi mikoba yake ... huku akimtabiria anaweza kuwa mmoja wa washambuliaji hatari wa Kitanzania miaka ijayo. Kocha huyo wa zamani wa Yanga ...
Kama hujui mwamba huyo wa Ouagadougou, kuna jambo ambalo ameibuka nalo na linawahusu mastaa wote wanaokipiga katika Ligi Kuu Bara hivi sasa na wale waliopita miaka ya karibuni ... mfungaji bora ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, tangu alipoingia madarakani mwaka 2021 kutoka kwa mrithi wake Hayati John Magufuli, alikuja na ...
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Anamringi Macha, amesema ndani ya utawala wa miaka minne ya Rais Dk.Samia Suluhu Hassan katika mkoa ...
Inatimia miaka 14 leo Jumanne tangu kutokea kwa tetemeko kubwa na tsunami kwenye pwani ya mashariki ya Pasifiki na kusababisha moja ya ajali mbaya zaidi za nyuklia duniani. Athari zake bado ...
Tuliyokuandalia hii leo ni pâmoja na matokeo ya mashindano ya tenisi ya vijana barani Afrika chini ya miaka 14, kocha mpya wa Kenya ni nani, matokeo ya mechi za kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika ...
Mahakama ya Uganda ilimhukumu kamanda wa zamani wa LRA Thomas Kwoyelo kifungo cha miaka 40 kwa makosa ya uhalifu wa kivitaPicha: Lubowa Abubaker/AA/picture alliance Waziri Omona ameelezea kuwa ...
Uhusiano kati ya Pyongyang na Seoul unazidi kudoroa kwa miaka, kadhaa huku Korea Kaskazini ikirusha mfululizo wa makombora ya balestiki mwaka jana kinyume na vikwazo vya Umoja wa Mataifa.
Nchi hizo badala yake zilichagua hatua nyingine, kama vile vizuizi vya mikusanyiko mikubwa ya watu, upimaji wa kina na kuwatenga watu waliothibitika kuambukizwa au vizuizi vya safari. Miaka mitano ...
Ilikamilisha sanamu hiyo ya theluji, yenye urefu wa mita 10.7. Ina urefu wa mita 89.8 kuzunguka kiuno chake na uzani wa tani 128. Mwanamke wa miaka ya sitini kutoka mji wa Shinjo, pia katika jimbo ...