Shiriki la Nyumba la Taifa (NHC), limesema faida inayopatikana kwenye nyumba za bei kubwa inatumika kuwekeza kwenye nyumba za bei nafuu kwa ajili ya Watanzania wa kipato cha chini kuwa na makazi bora ...