Hii ni kwa sababu ESA imeanzisha tena uhusiano na Washington katika miezi ya hivi karibuni, haswa kupitia juhudi mpya katika miradi ya usalama na maendeleo. Hata hivyo, wafuasi wa serikali za kijeshi ...
Shiriki la Nyumba la Taifa (NHC), limesema faida inayopatikana kwenye nyumba za bei kubwa inatumika kuwekeza kwenye nyumba za bei nafuu kwa ajili ya Watanzania wa kipato cha chini kuwa na makazi bora ...
WABUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamekutana katika ukumbi wa chama hicho wa JK Nyerere, Dodoma, kwa ajili ya kuchagua jina moja la mgombea wa nafasi ya Spika wa Bunge la 13. Awali, Halmashauri Kuu ...
Maelfu ya wanafunzi katika eneo la Kajiado nchini Kenya wameanza kunufaika na mradi wa kusambaza intaneti shuleni uitwao ‘Last Mile Connectivity’.