Shule ya Sekondari ya Amali Magoda, iliyopo katika Halmashauri ya Mji wa Njombe, inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ...
Mbio za Kitulo Garden Marathon, zimezinduliwa rasmi mwishoni mwa wiki mkoani Njombe na Ofisa Utamaduni na Michezo wa Mkoa wa ...
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kibaha Dk Mawazo Nicas amewataka wanafunzi kuzingatia masomo wawapo shuleni na kuachana na ...
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne na Kidato cha Pili ...
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Salum Nyamwese, ametoa wiki tatu kwa Halmashauri ya Mji Handeni kufanya maboresho mbalimbali ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri, siku 52 baada ya kuliunda, akimweka pembeni Waziri ...
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Balozi Dk. Bashiru Ally ameahidi kutekeleza ahadi ya aliyekuwa Waziri wa Mifugo Luhaga Mpina ya ...
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Dk. Pius Chaya, amesema serikali ya awamu ya sita inaendelea ...
Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema mradi wa umeme unaozalishwa kwa nguvu ya jua uliopo Kishapu, mkoani ...
Zaidi ya wananchi 450 wa vijiji vya Tarafa ya Masasi na Mwambao, Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa, wameanza kunufaika na mgao wa mbegu bora za ufuta. Mbegu hizo zinatolewa bure, ikiwa ni mkakati wa ...
Mwenge wa Uhuru umeendelea na mbio zake mkoani Mbeya, ambapo asubuhi ya leo umeingia katika Jiji la Mbeya, Halmashauri ya mwisho kukimbizwa mwenge huo kwa mwaka huu tangu ulipowashwa mapema mwaka huu.
Familia ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, imefanya ibada maalum ya kumuombea kiongozi huyo na kukusanya mali na samani zilizokuwa katika nyumba aliyokuwa amepanga eneo la ...