Dar es Salaam. Serikali imetangaza kusitisha usafiri wa mabasi ya yaendayo haraka maarufu mwendokasi jijini Dar es Salaam ambazo zinatoa huduma kati ya Gerezani - Kimara na Gerezani - Mbagala.
Dar es Salaam. Ligi Kuu Tanzania Bara itarejea Jumamosi, Novemba 8, 2025 baada ya kusimama kwa muda hivi karibuni. Ligi Kuu Tanzania Bara pamoja na ile ya Championship zilisimama kwa muda katika ...
Mgombea ubunge Uyole kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma(Chaumma),Ipyana Njiku akizungumza na mmoja wa wajasiriamali Soko la Uyole wakati akiomba kura na kuhamasisha kujitokeza kushiriki uchaguzi mkuu ...
Babati. Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limesema linamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Boay wilayani Babati, Eleth Mtaita akidaiwa kufanya uchochezi.
Dar es Salaam. Unaweza kudhani ni tamthilia ya OttoMan inarekodiwa mahakamani, lah hashaa! bali ni tukio halisi baada ya mtu mmoja ambaye alipaza sauti akiomba kutoka juu eneo wanalokaa wasikilizaji ...
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeliengua katika mchakato wa kuwania Uenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), jina la Mwenyekiti wa Mtibwa Sugar, Said Suud.
Dar es Salaam. Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imewasilisha rasmi taarifa ya uchunguzi kuhusu mgogoro wa umiliki wa kiwanja namba 189 kilichopo eneo la Msasani Beach, ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results