BODI ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imefanya ziara maalumu Songo Songo Mkoani Lindi ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, tangu alipoingia madarakani mwaka 2021 kutoka kwa mrithi wake Hayati John Magufuli, alikuja na ...
Tuna uzoefu wa kila kitu kilichotokea katika miaka ya hivi karibuni kulaumu mamlaka kwa hali ambazo zinachochewa mahali pengine." Mkuu wa nchi katika hotuba yake kwa taifa mwishoni mwa mwaka 2024 ...
Tuliyokuandalia hii leo ni pâmoja na matokeo ya mashindano ya tenisi ya vijana barani Afrika chini ya miaka 14, kocha mpya wa Kenya ni nani, matokeo ya mechi za kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika ...
Serikali ya Senegal imesaini makubaliano mapya na kundi la waasi wanaopigania kujitenga kwa eneo la kusini mwa nchi hiyo la Casamance. Dakar imeyataja makubaliano hayo kuwa hatua muhimu ya ...
Mahakama ya Uganda ilimhukumu kamanda wa zamani wa LRA Thomas Kwoyelo kifungo cha miaka 40 kwa makosa ya uhalifu wa kivitaPicha: Lubowa Abubaker/AA/picture alliance Waziri Omona ameelezea kuwa ...
Kama hujui mwamba huyo wa Ouagadougou, kuna jambo ambalo ameibuka nalo na linawahusu mastaa wote wanaokipiga katika Ligi Kuu Bara hivi sasa na wale waliopita miaka ya karibuni ... mfungaji bora ...
Hata baada ya kuondoka Mayele na kudhaniwa Musonda ndiye angerithi mikoba yake ... huku akimtabiria anaweza kuwa mmoja wa washambuliaji hatari wa Kitanzania miaka ijayo. Kocha huyo wa zamani wa Yanga ...

Reina Roa, Rais wa Mkutano wa Nchi Wanachama wa WHO FCTC, ameusifu mkataba huo kama moja ya mafanikio makubwa zaidi katika historia ya afya ya umma. Katika kuadhimisha miaka 20 ya mafanikio haya, WHO ...