KOCHA wa Dodoma Jiji, Amani Josiah amesema katika kipindi hiki ambacho Ligi Kuu Bara imesimama anapambana kutengeneza utimamu ...
YANGA imempiga KMC Kireno kwa kuichapa mabao 4-1 ikiishusha Simba katika msimamo wa Ligi Kuu Bara angalau kwa wiki kadhaa ...
KWA mara ya kwanza katika kipindi cha zaidi ya miaka 35, hakuna hata wimbo mmoja wa Hip Hop ulioingia ndani ya 40 bora za ...
KAMA ulidhani Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemtupa aliyekuwa kocha wa Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’, basi ...
KOCHA wa Mbeya City, Malale Hamsini amesema licha ya kazi ya benchi la ufundi la kutengeneza timu bora na ya ushindani, ila kwa sasa ni muda wa wachezaji wa kikosi hicho kujifanyia pia ...
KIKOSI cha Yanga, Jumapili ya Novemba 9, 2025 jioni, kimeshuka uwanjani kuumana na KMC katika mechi ya Ligi Kuu, huku kiungo ...
MSHAMBULIAJI Jonathan Sowah, alifunga bao la pili msimu huu katika Ligi Kuu Bara katika mechi dhidi ya JKT Tanzania ...
NAOMBA Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) liniwie radhi wiki hii tena kwa kuwa ni jambo ambalo lazima lizungumzwe ili ...
TIMU ya Stand United 'Chama la Wana', imeanza kukabiliwa na ukata mapema tu baada ya baadhi ya wafadhili wa kikosi hicho ...
MECHI ya Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji, Namungo 'Wauaji wa Kusini' dhidi ya matajiri wa Jiji la Dar es Salaam Azam FC, imemalizika kwenye Uwanja wa Majaliwa Lindi, huku kukiwa hakuna mbabe ...
HAKUNA kitu cha kushangaza sana kuhusu Morice Abraham. Mashabiki wa Simba wanashangaa kuhusu kipaji chake. Kiungo maridadi ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results